ICARDI

HAKUTAKA SOKA, SASA ADUI WA MAKIPA SERIE A ANAYEWANIWA EPL, LA LIGA

Bingwa - - MAKALA/HABARI - MILAN, Italia

KATIKA kila kipindi cha usajili, jina lake litakuwa gumzo, saini yake itatakiwa kila kona ya ulimwengu wa soka.

Ilikuwa hivyo wakati wa dirisha kubwa la usajili lililopita, ambapo Barcelona, Real Madrid na vigogo wa Ligi Kuu ya England, wakiwamo Chelsea, walitajwa kumfukuzia Muargentina huyo.

Kuelekea usajili wa Januari, mwakani, Icardi ameshaanza kuhusishwa na klabu kadhaa na vita imekuwa kubwa kati ya Barca na Real Madrid.

Je, ni nani huyo Mauro Icardi? Ni mambo gani ambayo huenda huyajui kuhusu nyota huyo mwenye umri wa miaka 25.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.