8

Bingwa - - MAKALA/HABARI -

Ni miongoni mwa wachezaji wakorofi na hata mashabiki wa Inter wanalifahamu hilo kwa kile alichowafanyia mwaka 2015 katika mchezo dhidi ya Sassuolo. Mashabiki walikasirika kufungwa na walipowazomea, Icardi hakuwaacha, naye alijibu mapigo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.