Wahispania kubomoa ‘ukuta’ wa Liverpool

Bingwa - - SPORTS - MERSEYSIDE, England

SEVILLA imepanga kuihangaikia saini ya beki wa pembeni wa Liverpool, Alberto Moreno, gazeti la Daily Mail limeripoti.

Mlinzi huyo atamaliza mkataba wake wakati wa majira ya kiangazi hapo mwakani na Sevilla wataitumia nafasi hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.