Kocha Lyon amewaka si mchezo

Bingwa - - MAKALA - LYON, Ufaransa

KOCHA wa Lyon, Bruno Genesio, amewaponda baadhi ya wachezaji wake baada ya kuruhusu wapinzani wao Hoffenheim kusawazisha dakika za mwisho wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na matokeo kuwa sare ya mabao 2-2.

Genesio walianza kupata mabao yao mawili katika kipindi cha pili cha mchezo huo na baadaye kufanya uzembe kwa madai ya kocha huyo kuwa wachezaji wake hawakuwa na sababu ya kucheza kwa presha kubwa kutokana na mchezo huo kuutawala tangu kipenga cha kwanza cha mtanange huo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.