Mbappe kumbe alitaka mkwanja mrefu PSG

Bingwa - - MAKALA - PARIS, Ufaransa

NYOTA wa miamba wa soka wa Ufaransa, PSG, Kylian Mbappe, imeelezwa kuwa alitaka pesa ndefu ili ajiunge na mabingwa hao wa Ligue 1, siri imefichuka.

Kwa mujibu wa jarida la Football Leaks, Mbappe, aliwaambia PSG wamlipe kitita cha pauni milioni 86 pamoja na ndege binafsi ya yeye kusafiri nchi yoyote ambayo atahitaji kwenda.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.