Beki Hamburg akoshwa na Xhaka

Bingwa - - MAKALA - MUNICH, Ujerumani

BEKI wa timu ya Hamburg, Leo Lacroix, ameonesha kufurahishwa na maendeleo ya kiungo wa Arsenal, Granit Xhaka, ambaye walikulia pamoja kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Uswisi cha vijana.

Xhaka mwenye umri wa miaka 26, tayari ameshakuwa miongoni mwa viungo bora Ulaya huku besti yake huyo akimmwagia misifa na kudai kuwa ameiva.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.