MB GOLDEN

MKALI WA BONGO FLEVA ANAYEPAISHA KISWAHILI MAREKANI

Bingwa - - BONGO -

NA CHRISTOPHER MSEKENA KUTOKA Portland Oregon, Marekani, msanii wa kizazi kipya, ameendelea MB Golden, kuipaisha lugha ya Kiswahili kupitia sanaa anayoifanya ya muziki kwa mafanikio makubwa licha ya changamoto kadhaa.

Hivi karibuni MB Golden anayetamba na nyimbo kama Kibega na Wara Wara, amefanikiwa kufanya mahojiano na BINGWA na kufunguka mengi yanayohusu maisha ujumla, na sanaa yake kwa karibu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.