Kijani yalamba pointi za mezani

Bingwa - - JUMANN | UNAKOSAJE? -

TIMU ya Kijani FC imelamba mabao matatu na pointi tatu za mezani baada ya wapinzani wao, Sagara, kushindwa kutokea katika mchezo wa Kombe Mbuzi uliopangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Kichanga, Mwenda Pole, Mailimoja, mkoani Pwani. Mratibu wa michunao hiyo, Asantel Mohammed, alisema timu hiyo imekuwa na kawaida ya kutofika uwanjani bila taarifa, hivyo anaipa onyo ikirudia kwa mara ya tatu itatolewa katika michuano hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.