Leipzig yanasa kifaa Red Bulls

Bingwa - - HABARI -

KLABU ya RB Leipzig imekamilisha usajili wa kinda mwenye umri wa miaka 19, Adam Tyler, kutoka timu ya Red Bulls ya Marekani.

Akizungumza baada ya usajili huo, Adam, alisema amefurahishwa na usajili huo na kusema kuwa kujiunga na timu hiyo kutampa nafasi ya kuonyesha kiwango chake kizuri licha kuwa na umri mdogo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.