Nyota wa kike Ghana ashinda kiatu cha dhahabu

Bingwa - - HABARI -

ACCRA, Ghana

FOWADI wa timu ya Taifa ya Ghana chini ya umri wa miaka 17, Mukarama Abdulai, amekabidhiwa tuzo ya kiatu cha dhahabu baada ya kuwa kinara wa mabao kwenye fainali za Kombe la Dunia kwa upande wa wanawake.

Mukarama alimaliza michuano hiyo akiwa na mabao 7 licha ya timu yake kutolewa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ambayo yalifanyika Uruguay.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.