Valverde masifa kama yote kwa Dembele

Bingwa - - HABARI -

KOCHA wa miamba wa soka wa Barcelona, Ernesto Valverde, amefurahishwa na nyota wake kwenye kikosi hicho, Ousmane Dembele, baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mechi ya ligi walipokuwa wanamenyana na Villarreal.

Dembele alikuwa tishio kwa mabeki wa Villarreal wakati alipokuwa anaonyesha utundu wake wa kuwapiga vyenga na kumkosha kocha huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.