Chelsea wajitosa kwa Eder Militao

Bingwa - - DONDOO -

inaripotiwa kuwa klabu ya kwanza kumfukuzia beki wa FC Porto, Eder Militao ambaye anamezewa mate na Manchester United, Everton na Juventus.

Gazeti la Daily Mail liliripoti kuwa vinara hao wanataka kukamilisha dili hilo ifikapo Januri, mwakani.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.