Raja Casablanca bingwa Shirikisho Afrika

Bingwa - - HABARI -

KLABU ya Raja Casablanca ya Morocco, imefanikiwa kuunyakua ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika licha ya juzi kufungwa mabao 3-1 katika fainali ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Vita Club ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Awali, Raja Casablanca iliwabamiza Vita Club mabao 3-0 kwenye fainali ya kwanza ya michuano hiyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.