Pickford awaomba radhi mashabiki Everton

Bingwa - - HABARI -

MLINDA mlango wa Everton, Jordan Pickfordkika, amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo baada ya mechi ambayo iliwakutanisha na mahasimu wao wa Jiji moja Liverpool kupoteza kwa bao 1-0.

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Sky Sports, Pickford alidai kuwa ni bahati mbaya kwa upande wao na hakuna namna ya kufanya kubadilisha matokeo hayo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.