Uturuki ana kwa ana na Ufaransa

Bingwa - - HABARI -

TIMU ya Taifa ya Uturuki, watakutana na mabingwa wa Kombe la Dunia, Ufaransa kuwania kufuzu michuano ya Euro yatakayofanyika mwaka 2020 hatua ya makundi.

Kocha anayekinoa kikosi hicho, Mircea Lucescu, aliwaambia waandishi wa habari kuwa ana matumaini mechi yao ya kwanza hawataanza na vigogo hao mechi yao ya kwanza.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.