Lopes aifungia mlango Bayern

Bingwa - - DONDOO -

NYOTA wa Monaco, Rony Lopes, ameongeza mkataba utakaomwezesha kuwepo klabuni hapo hadi mwaka 2022.

Lopes mwenye umri wa miaka 22, alikuwa anawindwa vikali na mabingwa wa Bundesliga, Buyern Munich.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.