Villa wanogewa kwa Abraham

Bingwa - - DONDOO -

KLABU ya Aston Villa imeanza mazungumzo na Chelsea kwa ajili ya kumchukua nyota wao, Tammy Abraham ambaye yupo kwa mkopo kwenye timu hiyo.

Staa huyo anakipiga kwa mkopo katika klabu hiyo tangu Agosti mwaka huu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.