Barca kusaka beki Januari

Bingwa - - DONDOO -

TIMU ya Barcelona inaripotiwa itaingia sokoni Januari mwakani kusaka beki atakayechukua nafasi ya staa wao, Samuel Umtiti ambaye ni majeruhi. Andreas Christensen, Diego Llorente, Jorge Mere na Unai Nunez, ni miongoni mwa wanaotajwa kuwindwa na miamba hao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.