Dimpoz aweka wazi ukaribu wake na gavana Joho

Bingwa - - MBELE -

NA KYALAA SEHEYE STAA wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema gavana wa Mombasa, mzazi Kenya anamchukulia kama yupo wake kwa sasa ndiyo maana karibu naye kwa muda mrefu. Dimpoz, ameliambia Papaso la Burudani kuwa kuna watu wamekuwa wakijadili jinsi kwa alivyokuwa akiishi nyumbani gavana huyo toka alipofanyiwa si upasuaji wa koo jambo ambalo zuri. “Nashangaa watu wamekuwa wakizua maneno kila kukicha hawajui uhusiano wangu na Mheshimiwa, kwa sasa namchukulia kama mzazi wangu, ni moja ya wana familia wake kwani kuanzia wazazi wake, mke hadi watoto wake wameshaniona mimi ni mmoja wao,” alisema Dimpoz. Aliongeza kuwa jambo hilo limamchukiza kwani hawajui gavana Joho amepigana kwa kiasi gani mpaka hapo alipofikia.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.