JUVENTUS

wataka kumrejesha Pogba

Bingwa - - EXTRA -

Kiungo huyo wa Manchester United, anasemekana kutokuwa na uhusiano mzuri na kocha wake, Jose Mourinho, hivyo anapanga kuondoka.

ROMA, Italia

TIMU ya Juventus inatafakari kuweka dau mezani la kumsajili staa wao wa zamani, Paul Pogba, wakati wa usajili wa majira ya joto yajayo.

Kiungo huyo wa Manchester United, anasemekana kutokuwa na uhusiano mzuri na kocha wake, Jose Mourinho, hivyo anapanga kuondoka.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.