Arsenal matumaini kibao kwa Pepe

Bingwa - - EXTRA - LONDON, England

TIMU ya Arsenal ina matumaini kibao ya kuzishinda Bayern Munich na Barcelona katika kinyang'anyiro cha kumwania winga wa Lille, Nicolas Pepe. Taarifa zinaeleza kwamba, kwa sasa vigogo hao wanapigana vikumbo ili kuhakikisha vinapata huduma yake kuanzia mwezi ujao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.