Isco aviingiza vitani vigogo EPL

Bingwa - - EXTRA - MADRID, Hispania

TIMU za Arsenal na Chelsea zipo vitani zikimwania kiungo wa Real Madrid anayetaka kuondoka mwezi ujao, Isco. Gazeti la The Sun linaeleza kuwa staa huyo hana uhusiano na kocha wake, Santiago Solari, tangu alipoondoka, Julen Lopetegui.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.