Man City kunasa winga ‘kinda’ Leeds

Bingwa - - EXTRA - LONDON, England

TIMU ya Manchester City huenda ikamsajili winga wa Leeds United, Jack Clarke, wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa Januari mwakani. Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba, tayari vigogo hao wameshaanza mazungumzo na kinda huyo mwenye umri wa miaka 18.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.