Cavani apiga chini dili China

PARIS, Ufaransa

Bingwa - - SPORTS -

NYOTA wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani, amepotezea ofa iliyotolewa na klabu ya Dalian Yifang, ya nchini China.

Jarida la Le10Sport, linaripoti, Cavani anasema hana nia ya kujiunga na Wachina, lakini pia na anahusishwa na Atletico, Chelsea na Napoli.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.