RAMSEY

KUTUA JUVE JUNI

Bingwa - - SPORTS -

LONDON, England

KIUNGO wa Arsenal, Aaron Ramsey, amekubali kujiunga na klabu ya Juventus kuanzia Juni mwaka huu.

Gazeti la Guardian, linaripoti kipindi hicho, Ramsey atakuwa mchezaji huru kwani mkataba wake na Gunners unamalizika mwezi huo na atakuwa na uwezo wa kuchagua timu yoyote.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.