Gabbiadini mbioni kutua Sampdoria

LONDON, England

Bingwa - - SPORTS -

STRAIKA wa Southampton, Manolo Gabbiadini, yupo mbioni kujiunga na timu ya Sampdoria inayoshiriki michuano ya Serie A.

Kwa mujibu wa mtandao wa Calciomercato, klabu hizo zimefikia makubaliano ya mkopo juu ya mchezaji huyo, lakini baadaye wanaweza kumchukua jumla.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.