Kiungo FC Porto kutua Arsenal?

LONDON, England

Bingwa - - SPORTS -

KLABU ya Arsenal imepania kumnasa kiungo wa FC Porto, Hector Herrera, ufikapo mwishoni mwa msimu huu.

Tovuti ya Tutto Mercato inaripoti Gunners wanamtaka staa huyo akiwa huru aweze kuziba pengo la Aaron Ramsey, ambaye mkataba wake unamalizika.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.