Man City waanza kusaka mbadala wa Fernandinho

MANCHESTER, England

Bingwa - - SPORTS -

KLABU ya Manchester City, wametuma ofa kwa West Ham, ikimtaka kiungo wao, Declan Rice, aweze kumsaidia kiungo mkabaji wao mwenye umri wa miaka 33, Fernandinho.

Hata hivyo, itawalazimu Man City kutoa pauni milioni 50, endapo wana nia ya dhati ya kumsajili Rice.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.