Mastraika watatu kutua Barcelona

CATALONIA, Hispania

Bingwa - - SPORTS -

MIAMBA ya soka ya Hispania, Barcelona, wamepewa ofa ya usajili mmoja kati ya mastraika watatu ili kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji.

Kwa mujibu Marca, mastaa hao ni Alvaro Morata, Kevin Gameiro na Fernando Llorente.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.