Man City watenga milioni 100/- kwa Allan

Bingwa - - MAKALA - MANCHESTER, England

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England, Manchester City, wametenga kitita cha pauni milioni 100 ili wanase saini ya kiungo wa Napoli, Allan. Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil, amewatoa udenda vigogo hao na wanafanya kila uwezekano wa kumshusha Etihad.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.