PSG kufanya kufuru kwa Isco, Coutinho

Bingwa - - MAKALA -

VINARA wa Ufaransa, PSG, wanaangalia uwezekano wa kuwasajili viungo, Philippe Coutinho wa Barcelona na Isco wa Real Madrid, gazeti la L’Equipe, limetaarifu. Wachezaji hao ambao wamekuwa si chaguo kwenye timu zao hizo, wanahusishwa na mpango wa kuondoka katika dirisha dogo la usajili wa majira haya ya baridi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.