Spurs yasaka mtambo wa mabao Sunderland

Bingwa - - MAKALA -

TOTTENHAM wamewaambia Sunnderland kuwa wanahitaji kumsajili straika wao, Josh Maja, kwa ajili ya kumsaidia Harry Kane, tetesi kwa mujibu wa gazeti la Express. Maja, mwenye umri wa miaka 20, atakuwa mchezaji huru msimu huu utakapomalizika na huenda ikawa njia rahisi ya kujiunga na Spurs.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.