Gattuso amfungulia njia Gonzalo Higuain

Bingwa - - MAKALA -

STRAIKA wa AC Milan, Gonzalo Higuain, ameambiwa achague timu anayotaka kujiunga ikiwemo Chelsea, kwa mujibu wa kocha wa timu yake hiyo, Gennaro Gatusso. Higuain alijiunga na AC Milan kwa mkopo akitokea Juventus na kufunga mabao nane katika mashindano yote msimu huu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.