Valverde amruka baba wa Neymar

Bingwa - - MAKALA -

KOCHA wa Barcelona, Ernesto Valverde, amesisitiza kwamba hajawahi kupokea simu ya kumtaka kumsajili tena nyota wa zamani wa klabu hiyo, Neymar, licha ya kuwapo taarifa zinazodai alipigiwa simu na baba wa staa huyo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.