Klopp afunguka siri ya ushindi wa Liver

Bingwa - - MAKALA -

KOCHA Jurgen Klopp amefunguka akisema kwamba, anavyodhani ukomavu mpya katika kikosi chake cha Liverpool ndio uliwasaidia juzi vinara hao wa Ligi Kuu England kurejea katika njia yao ya ushindi, baada ya kuichapa Brighton & Hove Albion, kwa bao 1-0.

Katika mchezo huo, vijana wa Chris Hughton, waliweza kukomaa hadi mapumziko timu hizo zikiwa sare na huku Liverpool, wakijaribu kuzinduka kutoka katika kipigo walichokipata wiki iliyopita dhidi ya Manchester City, kabla ya kuambulia kingine katika michuano ya Kombe la FA kutoka kwa Wolves.

Bao lililowekwa kimiani kwa mkwaju wa penalti na nyota wao, Mohamed Salah dakika ya 50, ndilo lililowapa

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.