Sevilla yapata pigo kwa Nolito

Bingwa - - HAT-TRICK -

KLABU ya Sevilla imethibitisha kuwa nyota wa kikosi chao hicho, Nolito, amevunjika mguu na atakuwa nje kwa muda wa miezi mitatu.

Nolito atakosekana dimbani kwa muda huo na huenda akaigharimu Sevilla hasa baada ya kuibeba kwa kufunga bao na kutoa asisti kwenye mechi ya Copa del Rey dhidi ya Athletic Bilbao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.