Fabinho amkuna Klopp

Bingwa - - TAMTHILIA -

MERSEYSIDE, England

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, anaanimi kuwa Fabinho ni mchezaji anayetumia vizuri akili katika kukaba, ndio maana amemwamini na kumpanga sehemu ya ulinzi ya timu yake hiyo.

Fabinho alicheza sambamba na beki tegemeo wa kikosi hicho, Virgil van Dijk na kuisaidia timu yao hiyo kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Brighton wikiendi iliyopita.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.