Tuchel alilia usajili PSG

Bingwa - - HAT-TRICK -

KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amesema hatakuwa na amani endapo timu hiyo haitafanya usajili wa mchezaji mpya kwenye dirisha hili dogo la usajili linaloendelea.

Tuchel alimwambia mwandishi ambaye alikuwa anamhoji kuwa ana matumaini ya usajili mpya kutua klabuni hapo, akionekana mwenye hofu juu ya kikosi chake.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.