Apata mshtuko kisa Murray

Bingwa - - HAT-TRICK -

NYOTA wa tenisi, Roger Federer, amesema amepata mshtuko baada ya mkali mwenzake kutoka England, Andy Murray, kutangaza kustaafu mchezo huo akidai kuwa anaamini bado ana uwezo mkubwa wa kucheza.

Akizungumza na waandishi wa habari, Federer alisema alisikitishwa na maamuzi hayo, kwani anamwona Murray kama mchezaji mkubwa wa tenisi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.