Monaco wasajili mchezaji majeruhi

Bingwa - - HAT-TRICK -

MONACO wameongeza nguvu kwenye kikosi chao baada ya kumsajili William Vainqueur kutoka Uturuki, licha ya kuwa na majeraha ambayo yatamfanya awe nje ya dimba hadi atakapopona.

Akielezea sababu ya usajili huo, rais msaidizi wa Monaco, Vadim Vasilyev, alisema usajili huo ulizingatia upambanaji wa mchezaji huyo na wana imani atakuwa msaada kwenye kikosi chao.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.