Al Ahly waanza vyema Ligi ya Mabingwa Afrika

Bingwa - - HAT-TRICK -

KLABU ya Al Ahly imeibuka na ushindi muhimu wa mabao 2-0 dhidi ya AS Vita ambao walikuwa pungufu, kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF). Kwa ushindi huo, Al Ahly wanashikilia nafasi ya pili nyuma ya vinara, Simba ambao waliwatandika JS Saoura mabao 3-0.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.