Meza waomba sapoti 'Tanzania Open'

Dimba - - News - NA GLORY MLAY

KATIBU Mkuu wa Chama cha mpira wa Meza Tanzania (TTTA) Issa Mtalaso, amewataka wadau kujitokeza kwa ajili ya kusapoti mashindano ya wazi ëTanzania opení, yanayotarajiwa kufanyika Novemba 23 hadi 25 mwaka huu, katika Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam.

Mashindano hayo yanatarajiwa kushirikisha timu mbalimbali kutoka Kenya, Uganda, Malawi, Zambia na wenyeji Tanzania.

Akizungumza na DIMBA, Mtalaso, alisema, kwa sasa wanaendelea na maandalizi, lakini hawajapa mdhamini yeyote ambaye atasapoti mashindano hayo.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.