Mlale FC wagoma kusajili

Dimba - - News - NA ZAINAB IDDY

KOCHA Mkuu wa timu ya Mlale FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza (FDL), Maka Mwalwisi, , ameweka wazi kuwa hatafanya usajili kipindi cha dirisha dogo linaloanza hivi karibuni.

Maka ameliambia DIMBA kuwa haoni sababu ya kufanya usajili wakati kikosi chake hakikucheza mechi nyingi za ligi hiyo.

ìHadi sasa tumecheza mechi chache pekee ambazo hazijatoa majibu sahihi ya ubora wa timu yangu, hivyo sioni sababu ya kuongeza wala kupunguza wachezaji,î alisema.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.