SportsPesa yamwaga neema

Dimba - - News - NA MWANDISHI WETU

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri, SportPesa, inaendelea kubadili maisha ya watanzania kwa kutoa zawadi mbalimbali kupitia promosheni ya Shinda zaidi na SportPesa.

Promosheni hii inawawezesha Watanzania kutoka mikoa yote kujishindia zawadi kama bajaji, jezi ya Simba na Yanga, simu za mkononi (Smartphones) pamoja na tiketi za kuhudhuria mechi za ligi kuu inayoendelea nchini Hispania na Uingereza.

Akishuhudia ushindi wake, mkazi wa Yombo Vituka kwa Masizi, jijini Dar es Salaam, ambapo mshindi wa droo ya 44 katika shinda zaidi na sportpesa ni Rahim Munisi.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.