Mchakato uchaguzi Baseball waiva

Dimba - - News - NA ZAINAB IDDY

CHAMA cha Baseball Tanzania (TABSA), kimeanza mchakato wa kupata uongozi mpya utakaodumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne ijayo.

TABSA watafanya uchaguzi huo Desemba 9, mwaka huu, jijini Dar es Salaam, chini ya usimamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

Msemaji wa BMT, Najaha Bakari, aliliambia DIMBA , TABSA kilitakiwa kufanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, lakini kutokana na mwingiliano wa ratiba wakalazimika kusogeza mbele.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.