WENGER AIKATAA REAL MADRID

Dimba - - Burudani -

KOCHA wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger, anasema hana mpango wa kuiongoza Real Madrid kama inavyoelezwa na vyombo vya habari, lakini pia akibainisha kwamba hajafuatwa na wahusika wenyewe kumpa mikoba ya Julen Lopetegui.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.