QUEEN DARLEEN:

WANAUME WANANIOGOPA

Dimba - - Dimba - NA JESSCA NANGAWE

M SANII wa kike kutoka lebo ya WCB, Mwanajuma Abdul maarufu kama ‘Queen Darleen’, amesema mara nyingi hakutani na changamoto za kutongozwa na wanaume na kutaja sababu kubwa kuwa ni aina ya maisha anayoishi. Queen Darleen alisema amekuwa akiishi maisha yasiyokuwa na usumbufu wowote kutoka kwa wanaume jambo ambalo limekuwa likimpa uhuru zaidi wa kufanya muziki wake.

“Mimi sina muda wa kufuatiliana na nikupe siri tu hata wanaume kunifuatafuata ni ngumu na hii inatokana na jinsi ninavyopangilia maisha yangu, unajua mtu anakusumbua pia kutokana na unavyojiweka na mimi sioni tabu katika hilo,” alisema Queen Darleen.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.