Little Treasure mabingwa wapya

Dimba - - Dimba - NA SAM BAHARI, SHINYANGA

T IMU ya Little Treasure Sports Center kutoka Kata ya Kizumbi, imeibuka mabingwa wa Ligi ya Taifa ngazi ya Wilaya Manispaa ya Shinyanga. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya Manispaa ya Shinyanga (SHIDIFA), Suleiman Magubika, timu nyingine zilizopanda daraja ni Mitumbani FC na Sorogoto FC.

Alisema timu hizo tatu zimepanda daraja ambapo zitakwenda kwenye mashindano ya ligi ya taifa ngazi ya mkoa.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.