TAMBWE AMJIBU RAFAEL DAUD ‘KIAINA’

Dimba - - Dimba -

KITENDO cha straika wa Yanga, Amis Tambwe kufanikiwa kufunga mabao muhimu akitokea benchi katika ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons juzi mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ni kama alimjibu mchezaji mwenzake kikosini hapo, Rafael Daud. Hatua hiyo inatokana na Daud pia kufanya hivyo wiki mbili zilizopita baada ya kufunga bao la ushindi timu yake ikiwachakaza Kagera Sugar mabao 2-1 ukiwa pia ni mchezo wa Ligi Kuu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.