ICA ALL WAZO SERIE

Dimba - - Dimba - MILAN, ITALIA

S TAA wa Inter Milan, Ma Icardi, amechaguliwa k Mchezaji Bora wa Mw wa Serie A, huku mkuu benchi la ufundi la Juven Massimiliano Allegri, naye akitwaa ya Kocha Bora.

Icardi anakuwa mwanasoka wa kwanz kuipata tuzo hiyo akiwa si mchezaji wa Juventus tangu Zlatan Ibrahimovic na All kuibeba yake kwa mara ya nne sasa.

Nyota huyo wa kimataifa wa Argentin alifungana na Ciro Immobile katika tuzo ya mfungaji bora wa Serie A baada ya kila mmoja kuzipasia nyavu mara 29.

Msimu huu umekuwa mzuri pia kwak kwani katika mechi 11 alizocheza, tayari ameshawatungua walinda mlango mara nane.

Kwa upande wa Allegri, mambo ni ma kwake kwani si tu msimu uliopita aliipa J taji la Serie A, pia safari hii ameshawawe kileleni kwa tofauti ya pointi nane baada mechi 14 tu.

Newspapers in Swahili

Newspapers from Tanzania

© PressReader. All rights reserved.